matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Feb 25, 2011

MWANAMUZIKI HUYU NDIYE ALIWABARIKI WATU WENGI SANA 2009/2010

Lazima tumpe MUNGU utukufu na kusema ukweli kuwa Christina Shusho ametumika vyema mbele ya madhabahu ya bwana na hasa kazi zake za uinjilisti kwa njia ya nyimbo kupitia album yake ya unikumbuke ni jambo ambalo kila mtu hapa Tz analikumbuka daima. Dada pia kazi yako mpya ni bab kubwa. umegusa wengi. Tumika mpendwa jua tu mbinguni kuna taji. iyelele team tunakupa pongezi.

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...