matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Dec 7, 2011

FARAJA NTABOBA KAMA JINA LAKE ANAIMBA NY IMBO ZENYE KULETA FARAJA>

Nyimbo za kaka Faraja Ntaboba ni kati ya nyimbo ambazo huna haja ya kujiuliza ni za namna gani kwa sababu zina elimisha na kuleta faraja ndani yake kwa kuwa tungo zake zinagusa maisha ya watu moja kwa moja bila kujali rika zozote. tunajifunza hata kwa nyimbo yake iliyompa umaarufu mkubwa jijini Dar es salaam inayoitwa "Yupo Mungu" na ule wa "Mke wa  pili". hivi sasa mwanamuziki huyu kwa taarifa rasmi yupo jikoni akirekodi album yake mpya kabisa katika studio ya Zoom Production pale Magomeni mwembechai.

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...