matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Jan 14, 2012

WEEK END SPECIAL YA WAPO RADIO IMETIMIZA MIAKA MITANO.


Hapo juu ni matukio ambayo yametukia siku ya tar 14 jan 2012 ambapo kipindi maarufu kwa jina la week end special cha wapo radio kinachosimamiwa  na bw. Anthony joseph kiliadhimisha miaka yake mitano na hatimaye kusababisha kufanywa kwa kongamano kubwa sana la kimataifa lililohusisha vijana kutoka nchi mbalimbali kama japan, south africa, uganda, tanzania, italy na belgium. kulikuwa na matukio muhimu kama picha zinavyoonyesha. kubwa ni kuwa wasanii wa muziki wa nyimbo za injili kama Pius Senyagwa na wengine walishiriki kutumbuiza kwa nyimbo mbalimbali. hongera WAPO Radio Fm 98.0

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...