matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Feb 18, 2012

MWAKASEGE - KUANZIA TAREHE 19-26 FEB 2012 KUFANYA SEMINA YA NENO LA MUNGU VIWANJA VYA BIAFRA.


 Kati ya moja ya picha nzuri sana ya mwalimu Christopher Mwakasege akiwa katika madhabahu ya Bwana Yesu
Kwa kuangalia na kutafakari tu utaweza kujua kuwa huyu ni mwalimu wa walimu, na naweza kusema ni muinjilisti wa wainjilisti. ukitaka kufahamu masomo ya bibilia kwa undani ni vyema ukahudhuria katika semina inayofanyika kuanzia leo tar 19 feb hadi 26 feb pale viwanja vya Biafra kinondoni  jijini dar es salaam. NEVER MISS!!! UTABARIKIWA

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...