matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Apr 16, 2012

GLORIOUS CELEBRATION WAKIWA NDANI YA GENEVA OF AFRICA - ARUSHA. WALIIMBA jana 15-04-2012 KANISA LA TAG BETHEL KIJENGE

HABARI PICHANI HAWA GLORIOUS  CELBRATION WAKIIMBA BETHEL TAG ARUSHA MJINI KATIKA MOJA YA UZINDUZI WA RUACH WORSHIP TEAM


 Baadhi ya waimbaji wa Glorious Celebration wakishirikiana na waumini wa Bethel katika ibada ya jumapili

 Glorious Celebration wakipata Braekfast iliyoandaliwa na kanisa la Bethel









 Mtumishi wa Mungu wa kanisa la TAG Bethel, mzee Mbilla akiwa na furaha wakati wa praise and worship


 Glorious Celebration wakiwaimbia watoto baada ya chakula cha mchana


  Emmanuel Mabisa akiimba wimbo wa Niguse


 Glorious wakipata chakula cha mchana katika kanisa la TAG Bethel Arusha


 Glorious Celebration wakimtumikia Mungu katika kanisa la TAG Bethel kabla ya Tamasha

ZAIDI SANA:
Mpaka sasa wametimiza mwaka mmoja tangu wameanzisha bendi yao na wametoka na album ya NIGUSE….hata hivyo kama watu walivyozoea kila Ijumaa kuwaona THE ATRIUMS HOTEL, kwa sasa itakuwa wanamtukuza Mungu kila ijumaa ya mwisho wa mwezi, viwanja vile vile.

Alkadhalika kundi hili linaundwa na waimbaji mahiri wanaosikika kwenye soko la muziki wa injili na wengine chipukizi wanasikika. Band hii inalelewa na msimamizi mkuu Bishop Mwakang’ata wa Full victory Gospel Church ya Chang’ombe Temeke, Dar es salaam.

Waimbaji wengine wanaounda kundi hilo ni Angel Bernard ambaye ndiye mweka hazina, Chaka Mtunguja Katibu wao, Jesca Honore, Nice Marandu, Davina, Risper, Ima Malisa, Emmanuel Materu, Emmanuel Gripa, Daniel Kibambe, Arone Botto, David Silomba, Ester Peter, Paul Mwakanyamale na Mercy Denis.

 JUU: GLORIOUS CELEBRATION WAKIWA KATIKA POZI LA PICHA

 SOURCE: http://mabisatz.blogspot.com NA strictly gospel blog

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...