matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Apr 2, 2012

SIKU YA PASAKA NA MWANAMUZIKI MKONGWE WA NYIMBO ZA INJILI REBECCA MALOPE.

Mara nying watu wamejiuliza ni kwa nini  Rebecca Malope huvaa vivazi visivyo vya kawaida na kukosa majibu. hasa hapa kwetu Bongo ndo maswali hujaa kwenye majukwaa ni kwa nini? je mtu hujajiwa kwa mavazi peke yake/?? Rebecca kwenye baadhi ya nyimbo zake kama hii ya Sicela ukuthula amevaa vazi la kushangaza watu na wengi wasiomjua hudhani ni mwanamuziki wa nyimbo za secular. pamoja na yote nguli huyu wa nyimbo wa injili amegusa maisha ya wengi na amekuwa role model kwa wanamuziki wengi wanaochipukia. Mavazi ni utamaduni wa watu. Watanzania wengi hatuelewi hiki kitu kuwa mavazi ni mazingira yanayomzunguka mtu yanapelekea kuvaa vile anavyovaa.



 ANGALIA HII VIDEO JUU UTOE MAONI YAKO KWENYE CHAT ROOM. MAVAZI HAYA WEWE UNAYASIMULIAJE......................TOA  MAONI

Rebecca Malope siku ya pasaka ataunguruma kiwanja cha kimataifa cha taifa la tanzania akisindikizwa na wanamuziki mahiri wa injili kama Rose Muhando, Efraim Sekeleti wa Zambia, Faraja Ntaboba wa Congo, Christina Shusho, Upendo Nkone, Upendo Kilahiro, Atosha kisava, Mukubwa wa Kenya na wengineo.

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...