matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Aug 10, 2012

LOVE FESTIVAL DAR ES SALAAM TAYARI KUANZA KESHO. TAKE A LOOK....MAANDALIZI TAYARI KABISA

HAYA SASA HAPA NDIPO PATAKUWA HAPATOSHI KESHO KWENYE LOVE FESTIVAL DAR ES SALAAM






KABLA ANGALIA PIA MAMBO YALIVYOKWENDA SEHEMU MBALIMBALI.......



MATIBABU YA MACHO HAPO MAGOMENI NAYO YAMEENDELEA


ANDREW PALAU AKIZUNGUMZA 


 CHRISTINA SHUSHO AKIIMBA


MAOMBI NI MUHIMU HATA KWENYE MATIBABU YA MACHO


MIWANI BUREEEEE KWA  VIJANA NA WAZEE. TUMEPEWA BUREEE TUTOE BUREEEEEEE


MASANJA NAYE AKIWA NA LUBBEN


CHINI NI HUDUMA YA MACHO IKISUBIRIWA NA WATU WENGI HAPO MAGOMENI BAPTIST CHURCH
ALSO SOURCE;  http://samsasali.blogspot.com/ AND http://gospelkitaa.blogspot.com/

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...