matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Nov 24, 2013

CHRISTINA SHUSHO AFANYA LIVE RECORDING YA Nataka Nimjue pale CCC upanga Leo 24/11/2013.


KUWA WA KWANZA KUANGALIA LIVE VIDEO (demo) KUTOKA UKUMBINI LEO.


Hivi ndivyo stage ya Kuimba ilivyokuwa siku hii ya leo

hapa chini bwana mdogo Paul Clement akimuabudu Mungu akiwa wa kwanza kabisa kufanya perfomance

hapa chini ni THE VOICE na CHRISTINA SHUSHO Wakifanya collaboration ya nyimbo moja ya christina kwa ACAPELA yani bila vyombo


k

NAPENDA ni nyimbo ambayo nayo imetokea kupendwa sana. hapo juu akiwa na aliyeimba naye
Brother Joshua alikonga nyoyo za watu baada ya kuperfom kwa namna ya kucheza na kuimba kwa nguvu ya ajabu. Upendo kilahiro naye alitetemesha madhabahu kwa kupambisha nyimbo mbalimbali. hapo chini Upendo na watu kadhaa kwenye viti vya mbele kabisa

Amani Kapama akiimba Kila jambo na wakati wake. alipamba vyema sana
Joshua Mlelwa akiwa kazini . chek pozi
Mh Bernad Membe (aka MTARAJIWA WA TZ) ambaye ndo hasa alikuwa mgeni rasmi hapa ukumbini akitoa nasaha na mchango wake wa hali na mali kwa Christina Shusho ili kumsaidia asonge mbele. Mchango wake alisisitiza ni siri kwani alitaka amuwezeshe kuimba vizuri.
MPIGA SAXAPHONE KAZINI. HUYU JAMAA ALIWEZA KUPIGA MLUZI WA SAXAPHONE BILA KUKOMA KWA MUSA WA ZAIDI YA DK 8. JAMAA ANA PUMZI YA AJABU
CHRISTINA SHUSHO HAPA AKIIMBA MOJAWAPO YA NYIMBO ZAKE UKUMBINI
UPENDO KILAHIRO NA CHRISTINA SHUSHO

fgfg

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...