matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Dec 5, 2013

KING CHAVALA KUFANYA YAKE SIKU YA TAR 8 DEC 13 PALE VICTORY CHRISTIAN CENTER TERBENACLE MBEZI BEACH ''A". USIACHE IKUPITE!!!

Huyu jamaa hata tembea yake ni kichekesho, kukaa kwake ni vichekesho, kuongea kwake ni kicheko tu. yani ukimtia machoni tu unaanza mwenyewe kucheka. kama sasa huamini hakikisha unakukwenda kumuona ili ushuhudia na kuthibitisha kitu tunachokisema kama iyelele team kuwa huyu bwana anakubalika kwa kweli. Keep it up Mr Chavala (The Only King left in Dar)

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...