matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Feb 7, 2014

JOHN LISU APATA WATOTO WATATU MAPACHA....

Mwanamuziki Wa Injili John Lisu Apata Watoto Mapacha Watatu

John Lisu Mchana huu ametaarifu baadhi ya blog kuwa Mungu amembariki kwa watoto mapacha watatu Wawili wakiwa Wa Kiume na Mmoja wa Kike, Mama na Watoto Wanaendelea vema.

Habari zaidi zitakujia Kadiria zitakapokuwa zikitufikia...

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...