matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Nov 29, 2014

JOYOUS CELEBRATION KUJA NAIROBI KENYA DECEMBER 14/2014 KUMFANYIA SIFA MUNGU


 Taarifa ya kuja kwa joyous imefungua mipaka sasa ili baadae waweze pia kuja hapa kwetu pia. hili kundi ni kundi ambalo limekuwa strong kwa kipindi kirefu likimpa Mungu utukufu.
Tamasha litakalofanyika hapo Nairobi Kenya tarehe 14 December mwaka huu litakuwa katika huduma ya CITAM (Christ is the answer ministries) ambalo lipo katika vitongoji vya barabara ya Caren valley jijini Nairobi. Ukumbi huu huwa unatumika mara nyingi kwa ajili ya shughuli mbalimbali kwa matamasha ya injili na mikutano. safu nzima ya watakaokuja haijafahamika bado ila kwa hakika watakuja kufanya mambo mazuri. Ticket zitapatikana kwa kiasi cha 2,000Kshs kwa viti vya kawaida, 3000Ksh kwa vitu maalum na 800Kshs kwa watoto.

 shangwe tu

 wakiwa katika picha ya pamoja hivi karibuni

angalia www.facebook.com/joyous-celebration  utapata mawili matatu juu yao.

CHEK VIDEO MOJAWAPO YA JOYOUS CELEBRATION 18

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...