matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Jul 6, 2015

HEAVENLY JOY AMESHANGAZA WATU KATIKA UMRI MDOGO WA MIAKA 5. AMEZALIWA NA MAPIGO YA MUZIKI.

PAMOJA NA KUTOKEA KATIKA FAMILIA YA WANAMUZIKI LAKINI YEYE AMEZALIWA KUWA MWANAMUZIKI.


Wengi tunamkumbuka Jotta ambaye amekuwa maarufu  tangu mdogo kwa kuimba bila woga. sasa hiki ni kifaa kingine. Jina la binti huyu mzuri ni Heavenly joy wa marekani kwenye America got talent. haya yalikuwa mashindano ya kupata mamilioni ya shilingi ambayo heavenly alipoulizwa kama akishinda atazifanyia nini pesa hizo akajibu anatamani watoto wengine na watu wengine wasiokuwa na nguo nzuri wala chakula kama yeye wapewe hizo ziwasaidie kwani anapenda kuona watu wote wakiwa na maisha mazuri. Aliulizwa kama atatetemeka mbele ya watu wengi ila yeye alisema hata kidogo kwani akiona watu ndio anapata ari ya kuimba zaidi. haogopi yuko confortable kwenye stage. kwa kweli anaweza na anavutia anapogonga beat za muziki miguuni. she is just a kid but talented like no other. May God Bless her.

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...